L-ness

swahili

 

KENYA NCHI YETU

Peace, love na unity,
Hip hop mentality,
Amid all the prejudice,
Kuna vitu mob ziko positive,
Uliza Lupita na wakimbiaji
vile ikikam to kutoka teke,
Ni matrophy na mamedali
za ugoro kuzinyongolo,
Na Oliech? Katika futa,
tunawachobo,
Ni watu wetu wanasay katika fame,
Kwenye games ka rugby,
Kutoka kwa single party state
hadi multy-party state,
Sasa tuna new constitution,
Cole mob ni maCampo na maUni
yani ma higher learning institutions,
katika devolution, wamatha na
mayutman, wana representation,
utawapenda utawahate
but huwezi kuwanegate,
itabaki umepraco positive
Kenyanization of the mind.

© L-Ness
Audio production: Literaturwerkstatt Berlin, 2015